Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una mimba katika siku za mwanzoni ambazo ni kuanzia siku ya 18 toka mimba itungwe.
Dalili hizi zinatofautiana kwa kila mtu, wapo ambao wanaweza kuzipata zote na ambao hupata baadhi tu ya dalili hizi na pia wapo ambao hawazipati kabisa.
Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na:
1.JOTO LA MWILI KUPANDA.(basal body temperature stay high)
Wanawake wengi hushindwa kutambua dalili hii pale wanapoipata kutokana na kutokuwa na uelewa
juu ya miili yao.
Hali hii inaonekana katika siku za mwanzo ambambo huweza kudumu kwa muda mrefu kiasi hivyo
kama itadumu zaidi ya siku 18 basi ni vizuri kupima ili kujua kama inatokana na ujauzito au la.
2. KUPATA HAJA NDOGO MARA KWA MARA.(frequent urination)
Kubanwa na haja ndogo mara kwa mara pia inaweza ikawa ni dalili mojawapo ya kuwa na mimba
changa.
3.KUWA MWEPESI KUHISI HARAFU YA VITU MBALI MBALI HASA HARUFU MBAYA.(sensitivity to odors)
Wakati wa mimba changa wanawake wengi wanakuwa wepesi wa kuhisi harufu ya vitu mbali mbali hasa zile harufu zisizo za kupendeza na kumfanya achukie vitu vingi vyenye kutoa harufu hizo.
wakati kama huu si ajabu ukaona mtu hataki mume wake amsogelee kwa kudai anatoa harufu mbaya.
ukiona dalili kama hii inaweza ikawa ni ishara ya kuwa mjamzito hivyo unapaswa kufanya uchunguzi.
4.KUKOSA HEDHI.(missed period)
Kwa kawaida mama mjamzito hapati siku zake za hedhi isipokua anaweza akapatwa na hali ya kuvuja kunakofanana na ile ya hedhi ila damu yake huwa nyepesi sana na hudumu kwa muda mfupi kati ya siku1 au 2 (implantation bleeding) hivyo unapokosa kuona siku zako za hedhi
unapaswa kuchunguza sababu za kukosekana kwa hedhi.
5. KICHEFU CHEFU AU KUTAPIKA.( Nausea or vomiting).
samahani, mimi naitwa Amina nina miaka 24 lakini sasa umefika wakati nahitaji mtoto kama maridhiano mimi na mchumba wangu lakini sasa nashindwa kuelewa siku halali za kusika mimba sababu mzunguko wangu ulikuwa unaenda vizuri lakini sasa umebadilika mwezi April niliona kuanzia tarehe 18 lakini sasa mwezi May nikaanza kuona tarehe 16-20 sasa je hapo nilenge wapi mana nimeanza kukutana na mwenzangu tarehe 26-27 je katika tarehe hizo kuna uwezekano wa mimba
ReplyDeleteMimi naitwa Monica, ninamiezi 6 kwenye ndoa,sijabahatika bado kupata mtoto, ila pia mzunguko wangu siuelewi vizuri kwasababu unabadilika badilika mara kwa Mara, mara ya mwisho kupata damu ni December 9, na Leo tar.12mwezi wa kwanza nimepata nyingine tena, na nimekutana na mmewangu tar.27,1 na tar.11 January 2016. Sasa sijajua siku rasmi ya kushika mimba ni IPI kati ya izo? Pia mwanamke akiwa na mzunguko wa siku 35 siku rasmi ya kushika mimba ni ipi? Na pia kunauwezekano kwa mwanamke anaepatwa na hedhi akakosa mtoto?
ReplyDeleteNipigie kwa namba yangu nikuelekeze 0625 490 456
DeleteNipigie kwa namba yangu nikuelekeze 0625 490 456
DeleteMambo Irene napenda kujua kama ulisaidika kwa ushauri wa Dr.
DeleteNina ndugu yangu na yy anashida kama yako hivyo ninaomba msaada kama hutojali
DeleteHellow,doctor Mimi Matti yangu yamejaa na yananiuma sana,pia tumbo linauma na kuacha ni kama lile la period ila sijielew sijawahi kujiona hivi
ReplyDeleteThanx
ReplyDeleteNaitwa Imelda mm sijaingia period mwezi wa kumi namoja ilitakiwa niingie tarehe1 ila imepita nanimepima mimba mara 3 ni negative.matiti yamejaa nayanauma nanilifanya tendo siku zahatari je shida itakuwa wapi
ReplyDeleteMlango wa uzazi unajifunga baada ya muda gani mara tu mbegu za kiume kuingia ndani kwenda kurutubisha yai??
ReplyDeleteMmmmh hii Kali tupeni majib madaktar tunawategemea nyinyi
ReplyDeleteKutoka Bila Matumaini Hadi Kufurahi Kupita Kiasi - Dk. Dawn Aliwezesha Iwezekane!”
ReplyDelete"Nilipopoteza kabisa tumaini la kuwa mama, ulimwengu wangu ulijihisi tupu. Nilijaribu kila kitu, lakini hakuna kitu kilichofanya kazi, na nilivunjika moyo. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika. Kwa uchawi wake wenye nguvu wa ujauzito na mwongozo, ndoto zangu zilitimia—sasa nimebarikiwa kupata watoto wawili warembo! Leo, mimi na mume wangu ndio wenzi wenye furaha zaidi ulimwenguni. Maneno hayawezi kueleza jinsi ninavyoshukuru kwa kurudia maisha yetu ya Dawn."
Wasiliana na tabia yake ya ujauzito,
Tahajia ya mapenzi/ tahajia ya kufunga/ tahajia ya kuokoa/
Spell kuponya magonjwa na magonjwa na zaidi:
Nambari ya WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
Ushuhuda
ReplyDeleteNilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!